Prof. Lipumba kumbe angalipo

Hayo maneno yake ukifika wakati wa uchaguzi mkuu CCM wakahitaji msaada wake atakuwa wa kwanza kuutoa bila masharti yoyote.

Kusema Chadema wana pesa ni kwasababu wanapewa ruzuku kisheria, yeye kama anaona chama chake kina sifa halafu hakipewi ruzuku aende mahakamani.

Kwani wakati ule alivyoenda kujificha Rwanda wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu alilipwa pesa ngapi na marafiki zake wa CCM?
 

Kapwelewa. Hakujua hata umuhimu wa Maalim Seif CUF ulikuwa upi. Sasa inamfia mikononi.
 
Proposa anaweweseka.
 
propesa pumba alisaidiwa na seriakali ya ccm kubaki na account ya benki iliyokuwa na pesa za CUF ya Marehemu Seif Hamad! akaanza kuzitumua na makahaba wenzie hadi zimeisha|! sasa propesa pumba hana mbele wala nyuma!
 
Kwani uchaguzi ulikuwa halali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…