Elections 2010 Prof. LIPUMBA kumpa shavu Dr. SLAA

Kuingia kwa DR. Slaa kwenye ngwe ya kugombea Urais ndio kutawafanya CCM kumtafutia sababu za kukacha mdahalo kwa mgombea wao; kwani sasa maji yatakuwa marefu zaidi kwa muungwana!!
 
Nani kafuta tena ndugu...mnaanza kufanya umafia humun ndani?
 
inasikitisha kuona jimbo la karatu linarudi tena ccm.
 
Ebu CUF wamruhusu Hamad Rashid awe mgombea mwenza wa dr slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…