Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba kuunguruma Uyui na Tabora Mjini leo

Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba kuunguruma Uyui na Tabora Mjini leo

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200915-070935.png

PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA UYUI NA TABORA MJINI LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba,Leo septemba 15,2020 atafanya kampeni katika mkoa wa Tabora katika wilaya mbili UYUI na TABORA MJINI.

CHAGUA CUF

MCHAGUE PROF. LIPUMBA
 
Hata kura kumi hapati...mnajichosha...ila Kama mnamlia hela zake hapo sawa ...kuleni...@CUF Habari
 
Vyama vya upinzani kama 5 why wasiwe wanaungana...
 
Ha ha ha,
Kunguruma kumepoteza maana. Huyu atazidiwa hata kwa kura na Chief LUTALOSA YEMBA na YAHYA FAHMI DOVUTWA za 2015
 
Huyu jamaa atapata kura moja tu aliyojipigia. Hata watu wake wa karibu hawatampigia kura
 
PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA UYUI NA TABORA MJINI LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba,Leo septemba 15,2020 atafanya kampeni katika mkoa wa Tabora katika wilaya mbili UYUI na TABORA MJINI.

CHAGUA CUF

MCHAGUE PROF. LIPUMBA
simpendagi sana uyu jamaa kwani kumchagua ni sawa na kuichagua ccm
 
Back
Top Bottom