CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Rais ajayeNdo nani huyo?!!,au wasafi wameleta msanii mpya nini?
simpendagi sana uyu jamaa kwani kumchagua ni sawa na kuichagua ccm
PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA UYUI NA TABORA MJINI LEO
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Lipumba,Leo septemba 15,2020 atafanya kampeni katika mkoa wa Tabora katika wilaya mbili UYUI na TABORA MJINI.
CHAGUA CUF
MCHAGUE PROF. LIPUMBA
Huyu hata Tabora kwao hawamjui