CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Ushajiuliza wangapi wanatumwa kuigiza na bado hawajajulikana?Hivi hamuoni aibu kuwa tunawajua mmetumwa kuigiza.
Kina Lipumba na genge lake wameshajulikana.Ushajiuliza wangapi wanatumwa kuigiza na bado hawajajulikana?
Unajua huyo Lipumba kaanza kutumika lini hadi wewe unakuja kumgundua? Mkuu mie sina ushabiki wa siasa hata kura sijisumbui kupiga.Kina Lipumba na genge lake wameshajulikana.
Mwaka huu kama mtapata hata Siwani mmoja,mkachinje jogoo wa kijani.