Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Mar 30, 2026 #1 Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana na uchaguzi mkuu kutokuwa huru na haki. Your browser is not able to display this video.
Profesa Lipumba amesema kuwa chama cha wananchi CUF japokuwa hakikutarajia kushinda ngazi ya urais lakini kiliamini kingeweza kupata majimbo ya ubunge walau viti 15, lakini ilishindikana kutokana na uchaguzi mkuu kutokuwa huru na haki. Your browser is not able to display this video.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Mar 30, 2026 #2 Kosa lako lipumba lilikuwa kuchukua rushwa za CCM 2015