CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Una akili timamu? Kwa hiyo kama viongozi wa serikali za mitaa waliuawa, ni halali Azory kupotea? Kwani ni Azory ndiye alikuwa anaua hao viongozi wa serikali za mitaa!!Lipumba anaongea na watu ambao wakati A. Gwanda akipotea tayari eneo lao lilikuwa limepoteza viongozi wao wa serikali za mitaa kibao kwa kuuwawa na wengine kukimbia makazi yao. anaongelea katika eneo ambalo wananchi wanajua kulikuwa na vikundi vya kigaidi ambapo kama sio juhudi za jeshi la polisi kuwafurumisha na kukimbilia Msumbiji, sijui hali ingekuwaje.
Unapoongelea mtu mmoja hali ya kuwa kuna watu kibao wamepotea na kupoteza maisha yao kwa tukio hilohilo ni upunguwani zaidi ya kukosa akili timamu. Mwenye akili timamu ataenda mbali zaidi ya hapo, angeorodhesha majina ya watu waliouwawa na atwambie kama Magaidi wanajua hizo haki za binadamuUna akili timamu? Kwa hiyo kama viongozi wa serikali za mitaa waliuawa, ni halali Azory kupotea? Kwani ni Azory ndiye alikuwa anaua hao viongozi wa serikali za mitaa!!
Tuna watu ni wajinga kupindukia!!
Sent using Jamii Forums mobile app