CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Nimekuona Prof kwa runinga. Unatisha kweliKwahiyo mtakuwa mnatutekenya makwapani au tatua matatizo au shida za wananchi.
Sawa shishi baby.Nimekuona Prof kwa runinga. Unatisha kweli
Hili si shina la CCMView attachment 1503593TUNAKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU NAOMBA TUFANYE KAMPENI ZA KISTARABU NA SISI TUNAKUJA NA AJENDA YETU YA FURAHA KWA WATANZANIA INAWEZEKANA
Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba.
#2020CUFMwakaWetu.
Mjinga huyu,, hivi alipataje uprofeza huyu
Mjinga huyu,, hivi alipataje uprofeza huyu
Ka Degree kako ka masimango ya Loan Board kutoka Ruaha University kaliko na escort ya pre certificate, cer tificate, diploma one, diploma two eti una hoji Akili ya Prof alieweka record ya GPA Udsm ambayo haitokuja kuvunjwa hadi siku ya mwisho. ( GPA 5.0)
Ukiambiwa Papers za Lipumba zipo kwny shelf za Library za Harvard na Massachusetts unaelewa maana yake?
🤣🤣🤣🤣Umeona eee amsifia mtu asiyetumia akili kufikiliaHizi ni kama sifa za marehemu.
Vimebaki vyeti vilivyobandikwa ukutaniKa Degree kako ka masimango ya Loan Board kutoka Ruaha University kaliko na escort ya pre certificate, cer tificate, diploma one, diploma two eti una hoji Akili ya Prof alieweka record ya GPA Udsm ambayo haitokuja kuvunjwa hadi siku ya mwisho. ( GPA 5.0)
Ukiambiwa Papers za Lipumba zipo kwny shelf za Library za Harvard na Massachusetts unaelewa maana yake?
Vimebaki vyeti vilivyobandikwa ukutani
Ujumbe umefika murua kabisaa..View attachment 1503593TUNAKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU NAOMBA TUFANYE KAMPENI ZA KISTARABU NA SISI TUNAKUJA NA AJENDA YETU YA FURAHA KWA WATANZANIA INAWEZEKANA
Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba.
#2020CUFMwakaWetu.