Prof. Lumumba stay away from Tanzania politics

Mtu akimsifia rais wenu mna shida... tena aki mtusi pia mna shida...sasa mnataka nini? Besides, I think he was invited...hakujialika mwenyewe...also, he was given the mandate to make a speech and deliver it...he did not go begging for it...
We acha tu, Waswahili tuna shida kwelikweli...
 
Kwenye uzi kama huu wananchi wa Lumumba hua wanaishia kutoa povu na matusi bila kujenga hoja.
Sijui tatizo hua ni lugha au uelewa!


Hata wewe una tatizo la lugha ya Kiingereza pia!
 
Kuna makosa mengi ya kisarufi ameyafanya kwenye uandishi wake zaidi ya kuwa alichoandika ni pumba.
Kwa non-native speaker/writer, no big deal. Mbaya ni kutuandikia vitu kama 'I was went'
 
ktk uandishi amejaribu sana...kuna makosa ambayo ameandika ila anaeleweka tu...tuseme hoja sasa ndio hana...kusema mtu ameingilia siasa ya nchi nzima kwa sababu ya sentensi moja tu ya hotuba ni uongo mtupu
 
Man i think you are wrong or you didn't understand what Lumumba meant!

The fact that Lumumba regards JPM as the incarnation of Mwl Nyerere doesn't mean that JPM handles all matters exactly as mwl did! The fact here is that he (JPM) follows some of Mwl Nyerere's ideology, one being the way he fights corruption and abuse of power!

It's clear and the world knows that Magufuli is trying his best to fight corruption, and the fact that he has the guts to unveil all corrupt officials and take appropriate measures makes him notable!

Just take a look at the recent issue of "MAKINIKIA", most of the people thought he would fail just at the beginning, but his plans are going to work and eventually tz will make an economic advancement!

There are some ways that i differ with my President, but in the fight for corruption, i do support him! It's corruption that has made tz to be an LDC up to date! So a guy in power who fights it is worthy of nothing than support!
 


Hebu tuanze na Ki-Malkia kwanza kabla ya ulichobwabwaja ...ha ha ha


'...how comes' × How come. √

'...attrocities' × Atrocities.√

'...24 months ban' × (24 month - ban√ {one cannot correctly say "a 2 years period" but you can correctly say "a 2 year - period etc." even if without the hyphen. })

'...mineral themselves'× minerals themselves √

'...in a near future' × In the near future √

'... (as he call Magufuli)' × (as he calls Magufuli). √






 

🙁 🙁 🙁 Duh! Naona umeamua kufungua darasa kabisa!...
 
Unamjua PLO kweli wewe
Akiwa Nigeria alisema "Africa is poor because of Nigeria"
Akiwa Ghana akasema "African think tanks are tanks that don't think" tena alikua anasoma hotuba yake mbele ya ghana think tanks akiwa yeye ndo guest speaker, jamaa hua hamumunyi maneno yake, Wabunge Kenya walikua wanakosa usingizi alipokua mkuu wa komishen ya ufisadi, kuna wakati atitishia akiwachiwa atawapeleka nyumbani, zaidi ya nusu ya bunge la kenya kwa kuwa wafisadi.


 
Huyo prof hajui anachokinena tumwombee tu Mungu amfungulie ufahamu wa kimwili na kiroho
 
Void threats. This is JF not WhatsApp.
Stick to the subject matter.

Hey,
Did you understand the meaning of "Reaching you soon!?"

I can see your medulla oblongata its not in a proper position then for some reasons that improper struct have affected a spinal cord which links your fore brain and cerebrum.

No way to help you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…