Prof. Lumumba stay away from Tanzania politics

Naona kuna watu mnatumia makalio kufikilia, hivi ni nani hajui juhudi za Dkt Magufuli duniani, natamani ungekuwa karibu ningekupiga risasi na kukuua kabisa mnafiki wewe.
 
It was his own stand....
May be he was right.....
Let magufuli go, still we need him for our country..
 
Sexless!! Una authority gani kumchallenge Prof. Lumumba? Sexless
 

You hammered a point.

Its unfortunate that , there's a lot of contradictions in many Tanzanians whom we thought that they knew what to do while not at all.

Such a situation signify that, we might spend a half of the century to bring back our people who have fallen asleep!
 
Naona kuna watu mnatumia makalio kufikilia, hivi ni nani hajui juhudi za Dkt Magufuli duniani, natamani ungekuwa karibu ningekupiga risasi na kukuua kabisa mnafiki wewe.
Duh! Wacha hii hasira, Bongo ni nchi ya kidemokasia na uhuru wa maoni.
 
Tanks that do not think? Just let that one sink in.
 
Sexless

Mtazidi kuumia roho tu maana ule udalali wenu uchwara business zenu uchwara sasa baasi.

Lazima mtatoa mchozi tu maana madili ya bandarini mmezuiwa pembe za ndovu mmekabwa madawa ya kulevya mmepigwa pia kuchakachua mafuta no.

Ule uwizi uwizi na corruption sasa basi

Vibiashara vyenu vile vya uwizi wizi mmevifunga. Lazima mtafutane.
 
You seem totaly confused with what Magufuri does!
With Prof. as any other critical men in the world ought to be happy and that makes ununiform statements from majority arguments.
YOU BETTER DIE PEACEFULLY IF DON'T LIKE TO HEAR WHAT WE ARGUE ABOUT MAGUFURI, Die alone!
 
Aisei mbona mnamponda mleta mada badala yay kujadili hoja, humu hatupo kwenye ushindani wa lugha, inaonyesha jinsi huwa mnababaishwa na Kingereza, mtu akiandika kidogo tu mnatiririka kwenye kukosoa sarufi bila kuzungumzia mantiki ya hoja yenyewe.

Halafu wewe mleta mada, unafaa ufahamu kwamba Prof. Lumumba alitoa maoni kulingana na anachokiona, hivyo ni kosa kumponda na kudai kwamba anaingilia siasa za Tanzania. Yeye alisifu jitihada za rais Magufuli, na wala hakuingilia siasa za Watanzania, labda kama angeanza kuwashauri kwamba mumpende Magufuli na kumpigia kura, basi hapo angekua amevuka mpaka wa maoni yake, lakini alichokifanya ni kusifu tu mambo anayoyafanya Magufuli.
 
Uzuri humu jf hakunaga ngumi watu wanatoka povu hadi basi
 
Huo ni mtazamo wake, tatizo lako nini??
 
Huyu, mzee anazeeka vibaya na ni mpuuzi, kama wapuuzi wengine
No.....siyo vizuri kumtukana.Heshimu mawazo yake lakini usikubaliane nayo kuliko kumtusi.Tusipoteze utamaduni wetu.
Nikushukuru kwa kunielewa.
Hakuna dini au Imani inakubaliana na mitusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…