Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kuna prof mmoja wa Kenya wengi mnamjua kwa mbwembwe za kingereza chake
Huyu jamaa mwanzoni alijizolea sifa nyingi Sana Tanzania kwa namna anavyoongea kingereza chake na ile intonation yake (kiimbo) anavyovuta sauti kwa msisitizo
Ila sijui alikula maharage ya wapi Mara akaanza kumsifia mh magufuli sasa kumsifu mtu sio jambo baya ila sifa hizo ziendane na uhalisia
Huyu prof akaenda mbali mpk kutengeneza msamiati wake eti kuna pepa yake ameiita THE MAGULIFICATION OF AFRICA kimsingi cc tulioko Tanzania tunaona tofauti na anavyoona prof huyu sikatai mh magufuli ana mazuri yake Kama binadamu ila sidhani Kama mazuri yake Yana outnumber Mabaya yake kiasi cha kustahili hizo sifa
I wish prof huyo ambaye kwasasa hapa Tanzania umaarufu wake ume nose dive asome hili bandiko langu au walioko karibu naye wamwambie bwana kuna mtu anaitwa superbug anakuona wewe ni prof tapeli kanjanja kwa kuwapa watu sifa za uongo wasizostahili na matokeo yake anawapa ithibati ya kimataifa aone Kane ni mwema huku watz wakiumia
Mfano mdogo Amezungumzia mshana maendeleo ni watu sio vitu kitu Pekee ninachompongeza magufuli ni umeme WA stiglaz goj baaasi
Anyway naamini ujumbe wangu utafika kwa prof lumumba we hate you ugly face prof from Kenya