Besta Mlagila
Senior Member
- May 29, 2018
- 101
- 191
Hata mataga walikua wanasema chanjo haiji Tz leo mataga hao hao ndio wanashabikia chanjo.Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya watanzania milioni 60, sidhani hata milioni moja wanafika ambao wanafahamu Katiba ni kitu gani".
Aidha aliendelea mbele zaidi kueleza kuwa wanaohitaji suala la Katiba mpya ni kwa maslahi yao binafsi ya kutaka kuingia madarakani.
King'amzi changu cha Azam kimeisha na nikajikuta naangalia TBC.Jambo la kwanza walioalikwa mostly ni pro government,Lipumba,Hamadi Rashidi,Lecturer wa Udom na huo Mhalu(?).
Jambo la pili muongazaji alionekana wazi anataka majibu ya namna gani,Mwalimu Rioba hata body language ilikuwa inamsuta.kabla ya kuruhusu majibu alitoa maelezo marefu mno na kuna wakati alikuwa anakatiza.
Nilivutiwa mno na Hamadi Rashidi alikuwa anatumia lugha ya busara lakini "when you read between the lines" unamuona mtu anayetaka mabadiliko.
Mwalimu Rioba achukue muda kuangalia clips za "Hamza Kasongo hour" au Jenerali on Monday" kutoka channel ten.Atapata mawili matatu ya kujifunza.
Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya watanzania milioni 60, sidhani hata milioni moja wanafika ambao wanafahamu Katiba ni kitu gani".
Aidha aliendelea mbele zaidi kueleza kuwa wanaohitaji suala la Katiba mpya ni kwa maslahi yao binafsi ya kutaka kuingia madarakani.
Yaani ryoba huwa anaharibu sana mijadala kwa kulazimisha hoja zinazoelekea kwenye upande anaoupenda hasa inapokua hoja za kugusa serikali. Pia naona hawa wasomi hasa wabobevu (phd na maprofesa) wengi wa kitanzania wanafiki sana kujadili masuala yanayogusa wananchiKing'amzi changu cha Azam kimeisha na nikajikuta naangalia TBC.Jambo la kwanza walioalikwa mostly ni pro government,Lipumba,Hamadi Rashidi,Lecturer wa Udom na huo Mhalu(?).