Jina gani tuupe uchaguzi huu? fumua fumua? mkanganyiko? anyway tuvute subira na kufanya post moterm analysis hapo Octobe 31,2010
JK anaweza kumteua kuwa waziri wa Afya akamrithi prof. mwenzake Mwandosya au akawa waziri wa utawala bora maana hakuna mtu atakaye hoji maamuzi yake.
Stephen Ngonyani alias Prof. Maji Marefu amemshinda dokta Edmund Mndolwa kwa kula 12,441 dhidi ya 2,289 za Dokta Mndolwa. Naona bunge la safari hii lina watu kutoka 'matabaka yote'.
Zaidi soma hapa: http://www.habaritanzania.com/new/articles/110/1/Prof-Maji-Marefu-ataka-ubunge-Tanga
Shadow:
Haya matokeo yote ya kura za maoni za CCM ni "mapendekezo" - Tusubiri August 14 ndipo tutafahamu nani alishinda! (right?)