Mwanzo akipewa madaraka na Magufuli nilimuelewa sana sababu najua uchapakazi wake, baadae akatumbuliwa hakurudishwa, pale sikumuelewa Magufuli..
Lakini kwa haya yanayoendelea sasa wizara ya Ujenzi chini yake, naanza kuona Magufuli aliona mbali zaidi yangu wakati ule, ila huyu aliyekuja kumrudisha, alimrudisha kwa sababu ya Mbarawa kuwa "mtu wa nyumbani" na sio zaidi ya hapo.