#COVID19 Prof Makubi: 2.2% ya Watanzania wamepata chanjo ya COVID-19

#COVID19 Prof Makubi: 2.2% ya Watanzania wamepata chanjo ya COVID-19

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema hadi sasa 2.2% ya watanzania wameshapata chanjo ya covid 19 na hakuna maambukizi mapya yaliyoripotiwa.

Makubi amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi kupata chanjo.

Source: Star tv
 
Hakuna maambukizi mapya?
waittill.png
 
2.2 gawanya kwa 100,
Afu zidisha mara 60,000,000.

Ni sawa na watu milioni 1.32 wameshachanjwa.

TAKWIMU ZA KUBUMBA HIZI
Na wakati wameleta chanjo mil.moja nukta nne. Na bado chanjo zipo zaidi ya nusu!

Ahahahah dah! Nipo napiga Balim ya 1200
 
Kwa machadema nchi hii hawazidi 2%?

Maana ndio waliokuwa wanatamani chanjo ije
Chadema kwa vunga wako vizuri sana:

Viongozi wao wanaitisha mandamano halafu wao wanasepa wanataka sisi makapuku ndo twende barabarani peke yetu!

Wanapigia chapuo chanjo ziletwe halafu wao hawachanjwi. Sijui wanataka nani achanjwe?
 
Back
Top Bottom