johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama hakuna maambukizi mapya Zitto ameambukizwa lini?Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema hadi sasa 2.2% ya watanzania wameshapata chanjo ya covid 19 na hakuna maambukizi mapya yaliyoripotiwa.
Makubi amewataka wananchi wajitokeze kwa wingi kupata chanjo
Source: Star tv
Labda Uviko wa 19 ni tofauti na Covid19.Kama hakuna maambukizi mapya Zitto ameambukizwa lini?
Prof Makubi ni muongoHakuna maambukizi mapya?
View attachment 2050196
😁😁 Umemshika Katibu pabayaKama hakuna maambukizi mapya Zitto ameambukizwa lini?
Maprofesa wa Kitanzania hawa.Prof Makubi ni muongo
😆😅😂Kama hakuna maambukizi mapya Zitto ameambukizwa lini?
Huyo Prof Makubi amekupatia document credible ya takwimu!???Alikuonyesha cheti cha maabara?
Prof Makubi ni serikali!Huyo Prof Makubi amekupatia document credible ya takwimu!???
Kama hakuna maambukizi mapya Zitto ameambukizwa lini?
Na wakati wameleta chanjo mil.moja nukta nne. Na bado chanjo zipo zaidi ya nusu!2.2 gawanya kwa 100,
Afu zidisha mara 60,000,000.
Ni sawa na watu milioni 1.32 wameshachanjwa.
TAKWIMU ZA KUBUMBA HIZI
Ameambukizwa baada ya takwimu kukusanywaKama hakuna maambukizi mapya Zitto ameambukizwa lini?
Chadema kwa vunga wako vizuri sana:Kwa machadema nchi hii hawazidi 2%?
Maana ndio waliokuwa wanatamani chanjo ije