#COVID19 Prof Makubi: 2.2% ya Watanzania wamepata chanjo ya COVID-19

Idadi Official ya sensa nchi hii inayotambulika ni ile ya 2012 ..bado it work

2.2% anayokusudia mtaalam itakuwa ni ile wataz milion 34
 
Chadema kwa vunga wako vizuri sana:

Viongozi wao wanaitisha mandamano halafu wao wanasepa wanataka sisi makapuku ndo twende barabarani peke yetu!

Wanapigia chapuo chanjo ziletwe halafu wao hawachanjwi. Sijui wanataka nani achanjwe?
Ni kweli hatujawahi kumuona kiongozi wa Chadema akichanjwa hadharani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…