POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,401
Wakuu! Leo Prof. Mwandosya alitembelea mradi wa visima vya maji katika chuo kikuu cha dodoma na kushangazwa sana na nyufa katika majengo ya U-DOM. Na kuhoji iweje majengo yenye miaka4 tu yawe na nyufa aliakua... alitegemea baada ya miaka 400.? Why not UDSM? alihoji. Nae nw wa ujezi. Dr. Mwakyembe amesema mradi wenyewe haujaisha na kwamba mradi wa ujenzi UDOM uwe unaangaliwa na wizara yake... Na kuahidi atafuatilia issue hiyo..!
My take:
nyufa hizo zimetokea leo ghafla ama kitambo? Wakati JK anazindua UDOM kwa mbembwe TISS hawakumueleza majengo mabovu? PINDA nae alienda 2 times, hawakusituka mpaka w wa maji?
My take:
nyufa hizo zimetokea leo ghafla ama kitambo? Wakati JK anazindua UDOM kwa mbembwe TISS hawakumueleza majengo mabovu? PINDA nae alienda 2 times, hawakusituka mpaka w wa maji?