Prof. Mbarawa: Sekta ya uchukuzi imeendelea kutoa ajira 198,480 wakati wa ujenzi wa miradi mbalimbali

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa sekta ya uchukuzi nchini imefanikiwa kuzalisha jumla ya ajira 198,480 kupitia ujenzi wa miradi mbalimbali na utoaji wa huduma za usafirishaji.

Akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo bungeni jijini Dodoma leo Jumatano, Mei 13, 2026, Profesa Mbarawa amebainisha kuwa ajira hizo ni matokeo ya jitihada za serikali katika kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa taifa.


Your browser is not able to display this video.
 
well done 👏
 
Ebhanae,juzi nimepita ku-check SGR Lot 5 Didia-Isaka siyo haba mambo yanaenda kimyakimya.

Muwape fungu akina Jamila Mbarouk na Ben Mwanantala makala za Reli na Matukio zirudi tena.😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…