Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Ebu weka picha ya hizo walizowaonyesha mwanzo tujikumbushe.Ni kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
Mwingine huyu amekuja na yake bila kujua picha zilitolewa na TRC, wakibanwa macho kodo yanawatoka.Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu( economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
"Watu wasio na nia njema" hii ni spidi gavana waitumiayo wanasiasa waongo ili kuwanyamazisha wanaogundua uongo wao.Tukiisha anza kuitana watu wasio na nia njema!, kama naanza kuogopa ogopa hivi!, hivi kwa bandiko kama hili... Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!, hivi viji tenda vya kutangaza uzuri wa tereni hizi mupya, tutapata kweli?.
P
Naomba msiweke picha kwani wataanza kusutana wenyewe kwa wenyewe, mkubwa haambiwi muongo, mezea.Ebu weka picha ya hizo walizowaonyesha mwanzo tujikumbushe.
Haya ndio MaMbarawa yenyewe!!Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu( economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Bullet train ipo toka miaka ya sitini na ya kwanza ilijengwa na mjapani huku reli yake ni ya zege, sasa wewe unaposema ni tekinolojia ya kisasa nakuona uko kwenye kundi hasi la kutudanganya.Hiyo high speed bullet train yenye speed zaidi ya 200 nafikiri ni latest technology ambayo sidhani kama bongolala kwa pesa ya kutembeza bakuli mnaweza kununua, Mbarawa is right.......ya kwetu inatumia umeme na speed yake ipo juu kutokana pia na reli inayotumia (SGR), hivyo speed yake ipo juu sana zaidi ya hizi tulizozoea. Kuna zile zinazokaribia supersonic speed nafikiri ni technology ya south Korea au Japan ambazo ni kwa safari ndefu kati ya majiji makubwa na hizi unakuta reli yake imejengwa kisasa na kiusalama zaidi.
Funguka, zile picha za TRC zikionesha treni iliyochongoka na ubavuni jina la TRC aliweka nani? Kama hauvai barakoa utakuwa umeambukizwa uongo.Hapana... tusichanganye mambo!!
Reli kuwa ya umeme haina maana kwamba itatumia high speed trains. Tofauti ya electrified SGR na ile isiyokuwa electrified ni kwamba Train zitakazopita kwenye electrified SGR zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile zisizo electrified lakini bado kasi hiyo haitakuwa sawa na high speed train.
Which means, trains zitakazotumia SGR yetu zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile za Kenya!!
Makame kasema ukweli, sema tu watu tunajisahaulisha. Mara kadhaa, tangu wakati wa uzinduzi wake ilishasemwa SGR itawezesha trains kutembea kwa speed ya 160KM/HOUR kwa sababu ni electrified.
In contrary, high speed trains ni zile zinazoenda kwa speed ya 250km/hour na kuendelea, na ujenzi wa hizo reli ni very expensive.
Aweke wapi wakati zimejaa humu kwenye kila post ya kusutana uongo zimo.Weka hiyo picha tuione acha gubu,,, mimi nilivyojua ni kwamba hizo treni zitakuwa na mfumo wa umeme kiundeshwaji lkn si zile zenye vichwa vya kuchongoka,, zile za vichwa vya kuchongoka zipo south Africa tu kwa ukanda huu wa SADC,, tena south Africa yenyewe ni Pretoria mpaka joberg ruti moja tu tena fupi na nchi ina uchumi mzuri, sembuse sisi uchumi wenyewe ungaunga mwana, ivo nyie na akili zenu mlijua hizo treni zitakuwa zile za vichwa vilivyochongoka 😃
Waweke picha ili tuwasute vizuri.Naomba msiweke picha kwani wataanza kusutana wenyewe kwa wenyewe, mkubwa haambiwi muongo, mezea.
Hapana... tusichanganye mambo!!
Reli kuwa ya umeme haina maana kwamba itatumia high speed trains. Tofauti ya electrified SGR na ile isiyokuwa electrified ni kwamba Train zitakazopita kwenye electrified SGR zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile zisizo electrified lakini bado kasi hiyo haitakuwa sawa na high speed train.
Which means, trains zitakazotumia SGR yetu zitakuwa za kasi zaidi kuliko zile za Kenya!!
Makame kasema ukweli, sema tu watu tunajisahaulisha. Mara kadhaa, tangu wakati wa uzinduzi wake ilishasemwa SGR itawezesha trains kutembea kwa speed ya 160KM/HOUR kwa sababu ni electrified.
In contrary, high speed trains ni zile zinazoenda kwa speed ya 250km/hour na kuendelea, na ujenzi wa hizo reli ni very expensive.
Mbona hata michoro ya nyumba ya 3D na uhalisia vitu fofauti halfu bila kusahahu hata wanawake zetu mbona mitandaoni picha zao na ukikutana nao vitu tofautiNi kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
Kuna watu wanatakiwa kupigwa risasi kwa wizi na utapeli.View attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?
Funguka, zile picha za TRC zikionesha treni iliyochongoka na ubavuni jina la TRC aliweka nani? Kama hauvai barakoa utakuwa umeambukizwa uongo.
Hivi walitwambia yatakuwa yanatembea kilometa ngapi kwa saa?
Lkn si umeona utofauti mbele kwenye kichwa Ni imechongoka ila mabehewa Ni Kama Yale ya zamaniView attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?
Editor: yan |