masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi.
Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge.
Ati kuna Fixed Price Contracts na Contracts zenye variations. Prof Mbarawa si mhandisi wa Ujenzi wala kisomo chake hakihusiani na maswala ya ujenzi.
Fixed Price Contracts kinadharia katika ujenzi, kitu hicho ni kuifurahisha serikali na wanasiasa tu.
Katika ujenzi kuna mabadiliko kila kukicha kutokana na mambo ambayo yanaihusisha serikali na mengine yako nje ya uwezo wa serikali.
Mkandarasi anafanya mahesabu ya mkataba kutokana na gharama halisi kwa wakati huo zilizopo nchini.
Sasa katikati ya mradi, serikali inaongeza mishahara kama ilivyotokea Januari 2023.
Tena kati kati ya mradi bei ya mafuta insongezeka kwa Tshs 1000, hivyo gharama nyingine zote zinapanda, hasa usafirishaji wa vifaa vya ujenzi.
Hapo sasa unamtaka mkandarasi abebe gharama ambazo serikali imeshindwa kuzidhibiti, na inataka mtu mwingine abebe mzigo wa gharama za mabadiliko ya bei za ujenzi kama ilivyo katika mkataba.
Hivyo basi tusiwadanganye wananchi kwa udhaifu wetu wa kufikiri katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi.
Prof Mbarawa hspo umebugi.