Prof.Mkenda aweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule Makowo, awadokeza Wanafunzi fursa 'Samia Scholarship'

informer 06

Member
Joined
May 11, 2024
Posts
66
Reaction score
49
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameweka jiwe la msingi katika shule ya Sekondari Makowo iliyojengwa kupitia Mradi wa kuendeleza Elimu ya Sekondari (SEQUIP)
d3fee3de-a3ee-400f-8efb-a71ba5f89ebb.jpeg

IMG-20240920-WA0461.jpg

Akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi Septemba 20, 2024 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewataka wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa bidii na kuhimiza kupenda masomo ya sayansi na kueleza watakapomaliza kidato cha sita watakao faulu vizuri watanufaika na ufadhali wa masomo ya elimu ya juu kupitia Samia Scholarship.
IMG-20240920-WA0465.jpg

IMG-20240920-WA0466.jpg

IMG-20240920-WA0468.jpg

Prof. Mkenda amesisitiza kuwa Serikali licha ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na stashahada lakini iliongeza ufadhili unaojulikana kama 'Samia Scholarship' ambao unawalipia wanafunzi masomo kwa asilimia 100.

"Na hapa nataka mnielewe Samia Scholarship si mkopo, hivyo ukipata utawapunguzia wazazi mzigo na hela ya kusomesha, haya ni mafanikio makubwa katika sekta ya elimu." Amesema Mkenda

Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Makowo Nikas Kampinga amesema kuwa shule hiyo imejengwa kwa gharama ya zaidi ya Milioni 583, ambapo amedai kuwa kiasi hicho kimetumika katika ujenzi wa madarasa, jengo la utawala na ofisi za walimu, huku akidai kwamba Serikali pia ilitoa shilingi milioni 100 kwa ajili ya kujenga nyumba ya walimu yenye uwezo wa kuchukua familia mbili.

Aidha Mwalimu Mkuu huyo ameongeza kuwa wananchi wa Kata ya Makowo walichanga shilingi Milioni 27 na Halmashauri ya Mji Njombe ilichangia Shilingi Milioni 58 kutoka kwemye mapato ya ndani kwa ajili ya kuanza ujenzi bweni la wanafunzi

Shule ya Sekondari ya Makowo ipo KM 85 kutoka Njombe Mjini ikiwa na wanafunzi 92 wa kidato cha kwanza .
 
Aache mara moja huo ufisadi wa samia scholarship na hizo fedha zirejeshwe bodi ya mikopo HESLB watanzania wote wenye vigezo wanufaike.SS Upuuzi Mtupu
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameweka jiwe la msingi katika shule ya Sekondari Makowo iliyojengwa kupitia Mradi wa kuendeleza Elimu ya Sekondari (SEQUIP)
View attachment 3101461
View attachment 3101656
Akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi Septemba 20, 2024 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewataka wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa bidii na kuhimiza kupenda masomo ya sayansi na kueleza watakapomaliza kidato cha sita watakao faulu vizuri watanufaika na ufadhali wa masomo ya elimu ya juu kupitia Samia Scholarship.
View attachment 3101657
View attachment 3101658
View attachment 3101659
Prof. Mkenda amesisitiza kuwa Serikali licha ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na stashahada lakini iliongeza ufadhili unaojulikana kama 'Samia Scholarship' ambao unawalipia wanafunzi masomo kwa asilimia 100.

"Na hapa nataka mnielewe Samia Scholarship si mkopo, hivyo ukipata utawapunguzia wazazi mzigo na hela ya kusomesha, haya ni mafanikio makubwa katika sekta ya elimu." Amesema Mkenda

Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Makowo Nikas Kampinga amesema kuwa shule hiyo imejengwa kwa gharama ya zaidi ya Milioni 583, ambapo amedai kuwa kiasi hicho kimetumika katika ujenzi wa madarasa, jengo la utawala na ofisi za walimu, huku akidai kwamba Serikali pia ilitoa shilingi milioni 100 kwa ajili ya kujenga nyumba ya walimu yenye uwezo wa kuchukua familia mbili.

Aidha Mwalimu Mkuu huyo ameongeza kuwa wananchi wa Kata ya Makowo walichanga shilingi Milioni 27 na Halmashauri ya Mji Njombe ilichangia Shilingi Milioni 58 kutoka kwemye mapato ya ndani kwa ajili ya kuanza ujenzi bweni la wanafunzi

Shule ya Sekondari ya Makowo ipo KM 85 kutoka Njombe Mjini ikiwa na wanafunzi 92 wa kidato cha kwanza .
Safi
 
Huyu waziri kichwa sana.
 
Back
Top Bottom