Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mazingira ya uwekezaji yanaweza kuwa magumu, usifikiri hawataki kuja... mazingira ni magumu. Gharama za uzalishaji zipo juu hasa nishati ya umeme.Soya na michikichi tunayo kwa nini tusitagute mwekezaji kama sisi hatuwezi akawekeza kwenye sekta ya mafuta ya kupikia tu?
That is NONSENSE[emoji205]
Soya na michikichi tunayo kwa nini tusitagute mwekezaji kama sisi hatuwezi akawekeza kwenye sekta ya mafuta ya kupikia tu?
Mwelekeo wa GOV ndio huo na hata kupelekea Mchikichi kuingizwa kwenye mazao ya kimkakati ikiwa ni pamoja na Alizeti; lengo likiwa ni kuinua na kuongeza uzalishaji wa ndani wa mafuta ya kupikia.Soya na michikichi tunayo kwa nini tusitagute mwekezaji kama sisi hatuwezi akawekeza kwenye sekta ya mafuta ya kupikia tu?
absolutely nonesenseThat is NONSENSE🐒
Mbona hata ya alizeti yanayozalishwa Tz yamepanda?Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema bei za mafuta ya kupikia zimepanda kwa kuwa 55% ya mafuta ya kupikia yanayotumiwa nchini yanaagizwa kutoka nje hasa Malaysia.
Amesema Malaysia hutumia vibarua kuvuna chikichi, kutokana na #COVID19 vibarua wamekosa uhuru wa kwenda Malaysia na kufanya uzalishaji kuwa mdogo na bei kupanda.
Sababu nyingine ni kupanda kwa bei ya soya ambayo pia hutumika kuzalisha mafuta ya kupikia na kuongezeka kwa gharama za usafirishaji duniani.