Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
Waziri wa Elimu na Mbunge wa Rombo kwa mwenendo huu anaenda kuua zaidi Elimu yetu. Ukiangalia katika uwekezaji wa Elimu yetu ,Waziri Mkenda amehamishia nguvu kubwa katika uwekezaji katika programs za vyuo vikuu na kusahau uwekezaji katika vyuo vya kati katika fani mama kama : Kilimo,afya,ufundi ,Elimu,nk ambapo ndio msingi mkubwa wa nguvu kazi ya Taifa.
Waziri Mkenda ameenda mbali zaidi na kuendeleza kile kilichokuwa kinapigiwa kelele na wananchi na wadau wa Elimu Tanzania, kubadili vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu au kuvikabidhi katika umiliki wa vyuo vikuu. Tumeona ombwe kubwa la wahitibu wa vyuo vikuu kukosa ubora unaotakiwa kwenye soko la ajira hasa katika kujiajili kwa kukosa maarifa na juzi zinazotakiwa katika maeneo hayo.
Kwa mfano, kwa upande wa Walimu, Walimu wengi waliyopitia vyuo vya kati wamekuwa na ubora mkubwa ukilinganisha na waliopita vyuo vikuu katika kutimisha majukuma ya ufundishaji katika shule mbalimbali.
Tunajua Mkenda ni zao la vyuo vikuu na anaegemea huko,lakini kama wadau wa Elimu tunamshauri kuwa,nchi yetu Ili iwe na wataalamu na nguvu kazi iliyo Bora na maarifa yanayotakiwa kwenye soko la ajira,basi aache kuendelea vyuo vikuu na aimalishe vyuo vya kati. Dhamana aliyopewa ya kuboresha Elimu yetu asiikimbizie vyuo vikuu, VYUO VIKUU ARE JUST DESTROYERS OF YOUTHS AND WILL NEVER PROVIDE THE NATION WITH DESIRED OUTCOMES.📝