Hakuna dira ya majambazi itafanikiwa hapa.
Wekezeni matako yenu, hakuna muwekezaji atakuja tumchomee mali zake.
Sisi tutaziwasha tu mpaka mtajane ni nani mmiliki halali wa mali zetu.
Mnajiingiza madarakani kwa nguvu halafu mnakuja kutuuzia ujinga wenu na mitandao yenu, sisi tuwa chekee tu.
Hizo dira mtazisahau soon, wananchi tujipange D9 tukapaze sauti watasikia tu.