Je muda wote alikuwa wapi kufanya mazungumuzo? Ni ujinga kutokufanya mlichokubaliana. Fanyeni mgomo, kama mnazungumuza basi wakati huo watu wasiingie class, lakini ukikubali muingie class, then yeye atachokifanya atawapick viongozi wa migomo na kuwafukuza tena. Cha muhimu nawashauri gomeni! Nakumbuka marehemu (R.I.P) Chachage ktk kupigania haki za wahadhili wa vyuo vikuu nchini alifanya mtindo wa mgomo, then wapo kwenye kikao na waziri huku watu wapo kwenye kikao wanasuburi majibu na siyo ofisini.Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salam prof. Rwekaza mukandala kahaha baada ya kusikia Daruso wametangaza kuna mgomo wa wanafunzi kutoingia madarasani kuanzia jumatatu . Prof mukandala akamua kumpigia simu raisi Wa Daruso akimuomba awatangazie wanafunzi kusitisha mgomo mara moja na kumuhakishia yeye yuko tayari kukaa na Daruso mezani na Kuyamaliza hayo Maswala .
Je muda wote alikuwa wapi kufanya mazungumuzo? Ni ujinga kutokufanya mlichokubaliana. Fanyeni mgomo, kama mnazungumuza basi wakati huo watu wasiingie class, lakini ukikubali muingie class, then yeye atachokifanya atawapick viongozi wa migomo na kuwafukuza tena. Cha muhimu nawashauri gomeni! Nakumbuka marehemu (R.I.P) Chachage ktk kupigania haki za wahadhili wa vyuo vikuu nchini alifanya mtindo wa mgomo, then wapo kwenye kikao na waziri huku watu wapo kwenye kikao wanasuburi majibu na siyo ofisini.
Kitu ambacho mnaweza fanya:
- Itisheni kikao J3
- Wanafunzi wote wasubiri matokeo ya mazungumzo na VC kikaoni,
- Majibu ndiyo yakayoamua.
uzushi nini hujui hata kinachoendelea kama huna chakupost tulia usiropoke kenge wewe
bwabwa ww
Kwani ni jambo baya kuomba mazungumzo yafanyike? Au watu walishajiwekea maamuzi kichwani kuwa lazima mgomo uwepo? Nampongeza Profesa, nampongeza rais wa DARUSO (kama amekubali).
uzushi nini hujui hata kinachoendelea kama huna chakupost tulia usiropoke kenge wewe
... Kila la kheri ktk harakati zenu. Kwa sasa ni kama serikali inaendesha mkakati wa chini chini wa fukuza fukuza vyuoni-kama mko makini mtakuwa mmeshagundua. Kwahiyo, mnapotaka kugoma tena tambueni kwamba wengi waatafukuzwa tena.