Prof mukandara makamu mkuu wa udsm amekiri kuwa kiwango cha elimu ktk chuo hicho kimeshuka kutokana na maandalizi duni ya wanafunzi wanaodahiliwa!huku jk atamba kujenga vyuo vikuu kila kanda jee hili suala la elimu bora hawaoni kuwa ni tatizo?
Genekai, hakuna chuo kikuu kilichoanza kikiwa kamili. Vyuo vikuu vyote vilianza katika mtindo huohuo wa yeboyebo na baadaye vikagrow na kujikuta vina uwezo wa kujitegemea. Kama JK ataweza kulitekeleza hilo, basi ni jambo jema na ni tumaini jipya katika maendeleo ya elimu hapa nchini.