PROF:NABI AREJEA TANZANIA

PROF:NABI AREJEA TANZANIA

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametua nchini akitokea Tunisia alipokwenda kwa ajili ya kushughulikia matatizo yake ya kifamilia.

Akizungumza baada ya kutua, Nabi alisema: “Tuna ratiba ngumu mbele, tuna mechi ambazo zinaweza kuamua hatima yetu ya Ubingwa wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa ya CAF.

"Nimezungumza na wachezaji wote na nimewaambia mashabiki wanategemea makubwa kutoka kwetu hivyo ni lazima waongezee bidii mazoezini ili kufikia malengo
yetu msimu huu,"alisema Nabi.
20230410_151600.jpg
 
KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametua nchini akitokea Tunisia alipokwenda kwa ajili ya kushughulikia matatizo yake ya kifamilia.

Akizungumza baada ya kutua, Nabi alisema: “Tuna ratiba ngumu mbele, tuna mechi ambazo zinaweza kuamua hatima yetu ya Ubingwa wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa ya CAF.

"Nimezungumza na wachezaji wote na nimewaambia mashabiki wanategemea makubwa kutoka kwetu hivyo ni lazima waongezee bidii mazoezini ili kufikia malengo
yetu msimu huu,"alisema Nabi.View attachment 2583303
Kuna mwanasimba alikuwa anamuulizia
 
Hii nayo Habari? Mpaka inaleta humu.
 
Back
Top Bottom