Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
[emoji1][emoji1][emoji1] sasahivi yanga ikiwa inacheza kitu cha kwanza kuuliza ni nabi yupo ???Taarifa mbaya sana hii kwa wapinzani
Kuna mwanasimba alikuwa anamuuliziaKOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametua nchini akitokea Tunisia alipokwenda kwa ajili ya kushughulikia matatizo yake ya kifamilia.
Akizungumza baada ya kutua, Nabi alisema: “Tuna ratiba ngumu mbele, tuna mechi ambazo zinaweza kuamua hatima yetu ya Ubingwa wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa ya CAF.
"Nimezungumza na wachezaji wote na nimewaambia mashabiki wanategemea makubwa kutoka kwetu hivyo ni lazima waongezee bidii mazoezini ili kufikia malengo
yetu msimu huu,"alisema Nabi.View attachment 2583303
Hii nayo Habari? Mpaka inaleta humu.KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametua nchini akitokea Tunisia alipokwenda kwa ajili ya kushughulikia matatizo yake ya kifamilia.
Akizungumza baada ya kutua, Nabi alisema: “Tuna ratiba ngumu mbele, tuna mechi ambazo zinaweza kuamua hatima yetu ya Ubingwa wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa ya CAF.
"Nimezungumza na wachezaji wote na nimewaambia mashabiki wanategemea makubwa kutoka kwetu hivyo ni lazima waongezee bidii mazoezini ili kufikia malengo
yetu msimu huu,"alisema Nabi.View attachment 2583303
Sio habari ni taarifaHii nayo Habari? Mpaka inaleta humu.