ubunge ni kwaajili ya faida zao na si wananchi, niliwahi msikiliza kwenye mkutano mmoja maeneo ya moshi vijijini, lugha yake na maneno yake kwa wananchi yalikuwa yakitapeli sana na kuwafanya wananchi ni wajinga, ilipofika mda wa maswali alikuwa mbogo.