johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tupe wewe ilichoripoti.Taarifa hii ni ya ubongo,BBC hawajaripoti kitu cha namna hiyo.
Mbona mnakuwa waongowaongo?
Nchi inayoletewa mpaka Michele wa plastic toka China leo wanaogopa Barakoa.... Hizi propaganda za kijinga sijiu watu wanapata faida gani...!!Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
Yaaaaaaaani, afadhari jogoo kulko beberu, beberu ni noma hakwepeki labda atuache tu.Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?
Umesoma hujaelewa,magonjwa yote hutengenezwa na wao,take care nyani poriKwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?
Kati ya profesa ambaye corona haijampitiaDaktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
Wewe ndo umekuja na majibu mazuri kwa nini prof anatema mashudu kumbe anatafuta njia ya kurudisha ugali wake uliomwagwa siku nyingi.Huyu Professor hospitali yake pale Morogoro ilifungiwa na NHIF. Nilisikitika sana, though sina uhakika kama imeshafunguliwa au bado.
Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?