Kwani hiyo condom inajivisha yenyewe.yaani unatetea ujinga.eti umeongea na kiingerezaVirus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Hajasema wazungu bali magaidi kama wale Al Shabah ambao sasa hivi tunapambana nao huko Musumbiji na kusini ya Tanzania.Wewe ndo umekuja na majibu mazuri kwa nini prof anatema mashudu kumbe anatafuta njia ya kurudisha ugali wake uliomwagwa siku nyingi...
Kwani umezuiwa si ununue uvae na ujifungie ndani na usitoke hadi corona iisheUtadhani misaada ndio tunaanza kupokea leo, unakuta jitu kama hili limesoma huko na kukaa na familia yake zaidi ya miaka kumi now anakuja na simple logics,
Africa tuna shida lkn kipindi hiki Tanzania tumezidi.
Kwani inavishwa na pua? Au wewe ukishajivisha, hayo mafuta yake huwa unajipaka puani na mdomoni na mpenzi wako unampaka puani? Mind you virusi vya corona haviwezi kuishi kwenye hayo mafuta ya condom.Kwani hiyo condom inajivisha yenyewe.yaani unatetea ujinga.eti umeongea na kiingereza
Unaweza kupewa uprofesa wakati huna akili. Mbona wewe usiye na akili hujapewa uprofessa? Si kadai basi wakupe?Huyo prof hana akili
Naishukuru awamu ya 5 kwa kunisaidia kujua kwamba Vyeti havina uhusiano wa moja kwa moja na Elimu ya mtu.Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona....
Magu yuko sahihi 100%Mzee Mgaya anasemaje?
Umewaza kuhusu kuwekwa virusi aina nyingine kwenye condom na dawa?Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Mwenyekiti wako hapo Ufipa kaacha kuvaa barakoa, unajua ni kwanini?Naishukuru awamu ya 5 kwa kunisaidia kujua kwamba Vyeti havina uhusiano wa moja kwa moja na Elimu ya mtu.
Virusi vya ukimwi na ndiyo maana Afrika ukimwi hautaisha until tutakapokuwa tunatengeneza condoms za kwetu. Huko Amerika ambako ndiko ukimwi ulianzia sasa hivi hauko siku nyingi na condom hawavai tena ila wanatutengenezea sisi na kutupatia bure wakiwa wamezipandikiza vvu.Umewaza kuhusu kuwekwa virusi aina nyingine kwenye condom na dawa?
Kwa hiyo tupate ujumbe gani hapa.Huyu Professor hospitali yake pale Morogoro ilifungiwa na NHIF. Nilisikitika sana, though sina uhakika kama imeshafunguliwa au bado.
Huyo prof itakua cheti kaiba cha mtu,hakuna prof mjinga zaidi ya yeye na kabugiiDaktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona..
Gaidi au jasusi akitaka kukuangamiza kupitia bidhaa unazoagiza ni lazima asubiri corona?Virus vya corona ili viweze kuleta madhara lazima vipitie kwenye njia ya hewa kuyafikia mapafu. Ukiviweka kwenye condom havitaweza kuyafikia mapafu yako kupitia kwenye urethra au rectum yako. Natumaini umeelewa.
Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sa
Ashikilie hapohapo akiyumba twafwa.Magu yuko sahihi 100%