Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
Kwa hiyo serikali haina uwezo wa kutambua kuwa shehena hii ya barakoa ina simu au kitu kibaha na itawadhuru wananchi.
Nyagori is just another sycophant!
 
Mawazo ya kimaskini sana hayo
Tena yaliyopitiiza...kwa kipi hasa mpk wazungu watake kutumaliza?? Yaaani dunia nzima sisi ndo matajiri? Kwa uchumi gani hasa uliozidi SA na nchi zingine Africa? Hizo barakoa toka zinafika kiwandani mpk uje uvae virusi vimekaa hai tu?

Kila leo mnaletewa mafurushi ya mitumba wameshindwa nini kuweka humo?watu wamekua brain washed na wamekubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mnazotengeneza hapa material mnatoa wapi vile?
 
Kwani umezuiwa si ununue uvae na ujifungie ndani na usitoke hadi corona iishe
Mimi katika hili nipo pamoja na magu[emoji91][emoji111]
Siku moja ina masaa mangapi vile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana PhD eti,
 
Science yako ni kama ile ya jiwe, acha kujifanya mjuaji
 
Watu mna IQ ndogo sana, yaani hata jambo kama hilo limekushinda unawaza urethra na rectum??
Ndizo sehemu ambazo vvu hupitia. Ukimwi haupitii mdomoni wala puani kwa taarifa yako. Ni kwenye urethra yako au rectum yako.
 
Tabia ya umalaya iko huko kwa wazungu hadi kufikia kiwango cha madume kufyekana na madume wenzao na mijike kufyekana na mijike mwyenzao.

Na vitendo hivyo vya kimalaya wakavihalalisha kwenye sheria na katiba za nchi zao kama ni haki za binadamu. Na wanatulazimisha na sisi tuzifanye kama haki za binadamu.

Sisi tunazingatia tulichoagizwa na Mungu. Tukajaze dunia. Dume moja ruksa kuwa na majike manne. Hakuna kuvaa condom.
 
TBS wanakazi gani? Huyo Propesa anataka uteuzi nafasi ya KK
 
Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?
Maskini watanzania sisi tuna nn Hadi tuwe target na Magaidi nadhani kama nikuuawa mbona tumeshamalizwa Simu zote nguruwe Na Dawa vitu vya supermarket magari Jamani Embu hawa they so called wasomi wasituone wajinga
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
wajinga wajinga nani kakaambia hii virus inaweza kukaa kwenye kitu kwa muda mrefu kama ni hivyo basi hata vyakula tungesema vina Corona. Msituone wote hapa ni wajinga
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona...
Ujinga ni mzigo. Kama mtu ana PhD anasema siku ina saa 48 mbele ya halaiki. Unategemea huyu anayepigania ugali wake aseme nini?
 
Jamaa ana bahati sana huyu; alikuwa kule Mbeya au (Iringa sina uhakika sawasawa) akapata msukosuko uliotokana na utendaji mbovu, akahamishiwa Morogoro nako akapata msukosuko wa aina hiyo hiyo.

Kumbe baadaye alipaa kuwa professor wa Muhimbili; basi ndiyo maana graduate wa medicine Muhimbili siku hizi siyo kama wale wa zamani; wengine wanagraduate bila kuona damu!.
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona....
Sweden, as we have seen, chose a different path. The Swedish public health agency has consistently stated that masks are ineffective and that their use could actually increase the spread of COVID-19 — a common view at the beginning of the pandemic but a rare one now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…