Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

vipi kuhusu condom? vipi kuhusu vidonge vya majira? vipo kuhusu chanjo za watoto wetu ikiwemo ya homa ya manjano tunayopatiwa tunapoenda nje? vipi kuhusu vyandarua? nk nk nk.
 
Probably you talking imaginary Sweden from your thought, never the one we know. You are hallucinating.
 
Profesa ametoa scientific evidence kwamba virusi vinaweza ku survive kwenye barakoa au anabwabwaja tu ?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
h
Kwenye condom na ARV vipi? Mabeberu hawawezi kuweka virus? Huyu professor Hana tofauti gani na darasa la Sana?
hizo hazina shida, maana wanaotumia walishajifia tayari kwa kuendekeza ngono nzembe, na kupenda chini watakufa baada ya kula utamu. Yaani utamu wale wao alafu tusikitike sisi aseeeeee
 
Huyu Professor hospitali yake pale Morogoro ilifungiwa na NHIF. Nilisikitika sana, though sina uhakika kama imeshafunguliwa au bado.

Kwà jinsi alivyojibu maswali haya bbc Ana haki ya kufungiwa...Prof wa Drs wangu wa wanaotuponyesha magonjwa ya Moyo...Nyangasa et al
 
Nyagori nae ni profesa?......tapeli kama mwenzie Janabi aliyeliwa kichwa Muhas.
 
Huyu Professor hospitali yake pale Morogoro ilifungiwa na NHIF. Nilisikitika sana, though sina uhakika kama imeshafunguliwa au bado.
NHIF wana mamlaka ya kufungia hospitali? Au wamesitisha huduma yao?
 
huyu ni profesa au?
 
Ukimsikiliza huyu, ukakumbuka na waraka wa MAT (Chama Cha Madaktari) unatamani ukiugua uende kwa Wakili pengine utapona.

Wannasheria kupitia chama chao cha TLS wametuinua sana, Mungu awabariki.

Sijui Prof Nyagori anadhani atapata uteuzi kwa JPM kuongea pumba hizo. Hii ni hatari kwa nchi yetu vijana badala ya kushindana kwa PERFORMANCE ya kitaaluma wanashindana kwa kutoa PUMBA.

Kuhusu virusi vya CORONA kwenye barakoa; JPM anasema barakoa kutoka nje zinaleta virus vya Corona. CDC na WHO wanasema kirusi cha Corona kinakaa kwenye nguo hadi siku mbili. Kwenye plastic na chuma hadi siku saba. Kusafirisha kontena kutoka nje inachukua kama siku 21. Hata kama barakoa zitakuja kwa ndege hamna namna mtumiaji ataipata barakoa ndani ya siku 14 kuanzia ilipozalishwa, kusafirishwa, kuganyiwa clearing na kupeleka hospitali au dukani. Virus anakuwaje hai siku 14 au 21 kwenye kontena?

Argument ya Vita ya uchumi ni mawazo ya KUPUMBAFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…