Prof Omar Fakih Kuhusu Mwenendo wa Deni la Zanzibar 'Ni Ongezeka la asimilia 400 kwa Miaka Minne

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Deni la Zanzibar limekuwa kwa asilimia 400 ndani ya miaka minne, na hii ni hatari ... kuanzia mwaka 2020 hadi 2024 ya uongozi wa awamu ya rais Dr. Hussein Mwinyi

View: https://m.youtube.com/watch?v=21YKy_U8cZk
Prof. Dr. Omar Fakih Hamad amezungumza haya leo Januari 07, 2024 Zanzibar wakati akichambua deni la (taifa) Zanzibar ambalo amesema ni hatari kwa nchi kama ya Zanzibar.

Omar Fakih Hamad mhandisi, mwanataaluma wa hisabati, mhadhiri vyuo vya Tanzania bara na Zanzibar

Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania inaonesha deni la taifa la Zanzibar limekua kutoka shilingi 887 billioni hadi shilingi 3.636 trilioni, hali hii imezua maswali mengi huku pesa hizi zikiwa mzito mzito kwa raia wa Zanzibar...

Mfumuko wa bei, kodi, mlimbikizo ya mishahara na stahiki za watumishi wa umma kutolipwa

Kilimo, viwanda, uvuvi zimetelekezwa wakati ni maeneo ya uchumi wa ndani yaliyotakiwa kuangaziwa kwa kuwa yangetoa ajira na fursa za biashara kwa raia wa Zanzibar kwa wingi badala ya fedha hizo zilizokopwa kuelekezwa maeneo mengine yasiyo na mguso kwa raia wa kawaida walio wengi ..


More Info :

 
Ukosefu tu wa akili... Nani kamwambia deni la Zenjibar wanalipa Wa Zenjibar mpaka anakua na nongwa hivyo...???? Wao hata hawahusiki hivyo alirax tu ale shushu..
 
Tanganyika itawalipia😏

Tanganyika ndiyo mdhamini wa madeni haya kupitia serikali ya chama dola kongwe CCM, na hii ni kuitia Zanzibar katika utegemezi wa daima hivyo kushindwa kujinasua kuwa taifa la Zanzibar lenye uwezo wa kuhoji koti la serikali ya Muungano kuvaliwa na Tanganyika
 
Zanzibar hata ikiingia madeni inaeleweka, kuna mambo yanaonekana pia kuna watu wanawajbishwa.
Tofauti ni huo uppande mwingine, haileweki, ni pesa yenu, ufadhili au mikopo
 
Mbona dogo sana hili deni,yaani inabidi lifike hadi Trilioni 10.
Uzuri machogo wasiojelewa,watakuja kulilipa wao na vizazi vyao hata wakivunja muungano Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…