Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
"Katika nchi yetu mabadiriko ya global warming tunashuhudia ikiwemo kuongezeka kwa
kina cha bahari. Hii ni rahisi kuijaribu kwamfano unapoweka maji kwenye sufuria yanapopata joto
yanatanuka na kuongezeka. Hivyo baharini kwakuwa joto limeongezeka basi maji nayo yametanuka na
kuongezeka kina" Alieleza prof. Pis (sina uhakika na jina) kupitia ITV.
Hii ni weak point kusemwa na prof. kwani kuongezeka kwa kina cha bahari kumesababishwa na kuongezeka kwa joto lakn
si kwa kutanuka bali kwa kuyeyuka barafu zilizopo maeneo mabali mabali duniani hasa bara la Antarctica na hali hiyo imesababisha maji kuongezeka. Pia maeneo kama vilele vya milima kama Kilimanjaro navyo vimeyeyuka na kuongeza maji baharini.
Nampinga prof. kwa hoja hiyo.