Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 308
Inaonekana CHADEMA wamejipanga vema kukabiliana na mbinu chafu za CCM, ile turufu yao ya kusema CHADEMA ni chama kinachoongozwa na kanisa itakufa pale watakaposimamisha mgombea mwisilamu na kwa maoni yangu Prof Safari anaweza kuwa anaandaliwa kuchukua nafasi ya Dr Slaa kama mgombea wa uraisi wa Chadema 2015.
Hongera sana CHADEMA kwa kuwanyamazisha hawa matapeli wanaowapaka matope
Hongera sana CHADEMA kwa kuwanyamazisha hawa matapeli wanaowapaka matope