Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 308
Inaonekana CHADEMA wamejipanga vema kukabiliana na mbinu chafu za CCM, ile turufu yao ya kusema CHADEMA ni chama kinachoongozwa na kanisa itakufa pale watakaposimamisha mgombea mwisilamu na kwa maoni yangu Prof Safari anaweza kuwa anaandaliwa kuchukua nafasi ya Dr Slaa kama mgombea wa uraisi wa Chadema 2015.
Hongera sana CHADEMA kwa kuwanyamazisha hawa matapeli wanaowapaka matope
Prof Safari ni nani ebu nijuzeni
Kazwile[/QUOTE said:umeona asivyojulikana hata kwa wana CDM? Hii ni zamu ya Mh Zitto atest zali na yeye. Akisimama tofauti na huyo mmejiloga wenyewe. hayo ni mawazo yangu
Lini umefanya utafiti wa wapiga kura kugundua kuwa bado hawashawishiki? Afadhali ungesema tu kuwa ni maoni yako au ni wewe ambaye bado hushawishiki ungeeleweka vizuri tu.wapiga kura bado hawajashawishika kwa hili labda kwa uchache mawazo ya mwanakijiji yafanyiwe kazi na chadema. Halafu Zitto naye watakuwa wamemtendea haki kweli? maana mbowe alisha test akachemka, Slaa karusha rusha miguu kaishia kwenye maandamano sasa ni zamu ya Zitto ajaribu.CDM ikitaka ijinyonge yenyewe ni kumsimamisha huyo Pro safar, kwani hatotangazika kama akisimama Zitto.
Na hilo ndilo lengo la Prof. Safari kuhamia Chadema. (watu wana malengo bwana!)
Na ikiwa ndivyo hivyo a hoja ndio hiyo kwanini wasemuweke ZK kugombea?
Je kwa kufanya hivyo watajenga au ndio watakichimbia kaburi chama chao?
Hapo kwenye blue utakua ujamtendea haki Prof Safari, kama mwanachama anayo haki ya kugombea uraisProf. Saffari hana sifa ya kuwa mgombea Urais wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA. Kwanza nani amekwambia kuwa DK. WILLIBROD SLAA hagombei 2015? Hata kama Slaa akiamua hagombei, Prof. Saffari si chaguo bora la kuchukua nafasi hiyo.
Ukiacha kuwa ana elimu ya kutosha, hana uzoefu wa kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya kitaifa ya uongozi, eg udiwani, ubunge, etc, hivyo chama makini kama CHADEMA hakiwezi kukurupuka tu out of nowhere na kumchagua kuwa mgombea wake urais.
Hapo kwenye blue utakua ujamtendea haki Prof Safari, kama mwanachama anayo haki ya kugombea urais