PJ.Asante sana kwa kunuisaidia kujibu hili baada ya kusoma post ya Muheza na Bulesi jibu langu lilkuwa ndo hilo..Naona hawaelewi maana ya kuandaa ilani wanafikiri ni kwenda Jangwani na kubwabwaja,Jangwani ni sehemu ya kubwabwaja na sio ya kutafakari kwa kina na kuandaa agenda..Big Up once again PJ kwa jibu lako.
Mkuu Mkandara,Gender Sensitive,
Nikwepe vipi na nimejibu swali?..Yes, I was among marchers on Saturday...
Mkuu mimi sina sababu la kulaumu pasipo kuona ilivyokuwa. Na ajabu ssijui mnataka kuonyesha kitu gani zaidi ya kuchukua Ujumbe wenyewe.
Waafrika tuko nyuma sana ktk maswala ya kulilia haki zetu, sisi ni Watumwa wa akili hata ktk maswala mazito yanayotuathiri kila siku..
Haya badala ya kujiuliza tukajipanga tunaanza kuulizana kama nilikuwepo..Hii akili kweli jamani?..
Nina hakika sasa kwamba CCM itatawala mielele..
GS,
Vijana mnafanyia mikutano yenu hotelini? Enzi za ujana wetu hilo lisingeliwezekana, tungelienda Jangwani.
dah! yaani umeniwahi kweli. tena hoteli za kitalii kisha wanazungumzia kuhusu Tanzania tunayoitaka. Tanzania ya mahoteli ya kitalii? Tanzania ya wachache? au kuna vijana wengine ambao ni wengi waliwatuma kwenda kujadili? HAwa hawana tofauti na kauli mbiu za Jakaya. Wamwache na Shivji ajipumzikieGS,
Vijana mnafanyia mikutano yenu hotelini? Enzi za ujana wenu hilo lisingeliwezekana, tungelienda Jangwani.
Yawezekana kweli maanake watu kama nyie hamuwezi kuamini Mkandara ni tofauti nanyi..Pengine hata huamini Gender Sensitive alikuwa mkutanoni na Prof. Shivji!Mkuu,
Hapo kwenu, mbona na wewe ulikuwa unachungulia kwenye TV?
Sijakuona hapa chini japo barabarani!
GS,
Hata kama mlikuwa mnaandaaa ilani, hiyo mikutano ya vijana kufanywa kwenye mahoteli haileti taswira nzuri kabisa.
Onyesheni mfano kwamba mko tofauti na hawa viongozi wetu ambao wanatumia mamilioni kwenye mikutano na semina kwenye mahoteli makubwa huku wsananchi wanakosa hata mlo.
Watanzania tumerogwa kukimbilia mambo ambayo hayana maana na kuacha mambo na mikakati ya maana.
Vijana wa CCM wamepoteza mwelekeo hivyo hivyo tokea walipoaanza kuiga mambo ya viongozi wao; mambo ya kuandamana na wenye pesa na madaraka na kuitisha mikutano ya mamilioni ya pesa. Kama kuna pesa wasaidieni vijana waweze kujitegemea.
Yawezekana kweli maanake watu kama nyie hamuwezi kuamini Mkandara ni tofauti nanyi..Pengine hata huamini Gender Sensitive alikuwa mkutanoni na Prof. Shivji!
sasa kama hukuniona yawezekana wewe ni kati ya wale Hooligans wanao protest na kuvunja maduka ambao hawakuwa ktk maandamano ila mjini kubomoa maduka na kuchoma magari ya Polisi ili mradi message yao imefika...
Maandamano yalikuwa shwari kabisa, ngozi ya **** wachache walikuwepo ni wanafunzi wa U of T na nadhani ni wawakilishi wa taasisi moja ya Ukimwi ndio niliowaona lakini hakuna organization wala Taasisi yoyote ya Afrika iliyokuwepo hata hao wanaoomba na kutegemea misaada huku wakilalamika na masharti ya IMF. It's shame!
Kifupi mkuu wangu kubishana haiwezi kusaidia na ndio tatizo la ngozi hi. yaani tunachukua muda wetu kubishana kitu ambacho kinatakiwa tuchukue hatua mara moja..Muhimu ni ujumbe wangu kwamba tusiwe na akili ya kitumwa jamani tujitokeze kuelezea matatizo yetu badala ya kila siku kumtegemea huruma ya Mzungu asiyeathirika na hawa G8 moja kwa moja...
Mkuu siku zote mimi niko wazi, nadhani ni mimi pekee hapa JF aliyeingia Chadema na kuwajulisheni siku ile ile nilopata Uanachama, mimi nakuja kwa jina langu, na mimi pia nimewaambia napoishi, kabila, dini na kwetu ni wapi.. Na hata ukitaka info yoyote ile iwe simu yangu au e-mail yangu mkuu nitakupa tuwasiliane..I'm down to earth kind a mamen, sii mtu wa kuficha ficha na hakuna mtu hapa JF aliyeweza kufanya hivyo kwa hiyo amini usiamini haiwezi kuondoa ukweli kwamba sisi bado kabisa tuna akili ya kitumwa na wanafiki..Na pengine ndipo Laana ya kutofanikiwa inapoanzia..
Ubishi mwingine wala hauna maana.
Unafikiri kila kitu ni Jangwani tu,utaendaje Jangwani kama huna data.Lakini pili unafikiri kuwa Jangwni ndio kutatua matatizo,nani kakudanganya?ni wangapi wameenda Jangwani wamefanya nini kikubwa?
Duh, kumbe ndio umenielewa Profesa ajiunge na maandamano.. hapana mkuu wangu sikusema hivyo. Nilichokisema kwake ni kuhusiana na yanayotokea nchini kwetu. Haya ya maandamano ni ktk kufikisha ujumbe jinsi waafirka tulivyokuwa nyuma kushiriki maswala ambayo yanatuhusu sisi moja kwa moja..Mkuu Mkandara nakubaliana na wewe kwa hoja zako za tangu awali.Nisichokubaliana na wewe ni kuhusu Prof Shivji kwenda kwenye maandamano.Kwa uelewa wangu mdogo kuhusu Prof huyu ni kuwa yeye sio muuumini wa migomo hata kidogo hivyo sidhani kama angweza kushiriki kwenye mgomo moja kwa moja hata kama angekuwa nakubaliana na hoja za kufanya mgomo wowote ule.Hivi kwa unavyomuona anaweza kuandamana kwenye mgomo kweli?hivi umeshwahi kufanya analysis ya wanaogoma physically hapa Tanzania na kuangalia ni aina gani ya watu ambao huwa wanaandamana?
Duh, kumbe ndio umenielewa Profesa ajiunge na maandamano.. hapana mkuu wangu sikusema hivyo. Nilichokisema kwake ni kuhusiana na yanayotokea nchini kwetu. Haya ya maandamano ni ktk kufikisha ujumbe jinsi waafirka tulivyokuwa nyuma kushiriki maswala ambayo yanatuhusu sisi moja kwa moja..
Nilitegemea sana watu kama Prof.Shivji kuwa msitari wa mbele ktk watu ambao wanapigania haki nchini kwa vitendo yaani yeye awe mtu wa mbele kuanzisha ama kuungana na watu wanaopinga Utawala mfumo mzima wa Kiutawala uliopo.
Nina hakika Upinzani ukipata watu kakma hawa pengine inawezekana lisilo wezekana kinyume cha hapo sioni kabisa Upinzani kufanikiwa ikiwa Upande wa Upinzani hakuna vichwa vya kutosha..Hizi habari za kuzngumzia magazetini hupita kama Upepo na ndicho sisi Waafrika tunakifanya yaani kila siku tunalalamika ktk magazeti na pembeni lakini inapofikia swala la kujitoa mhanga wengi wanaingia mitini..
Ubishi mwingine wala hauna maana.
Unafikiri kila kitu ni Jangwani tu,utaendaje Jangwani kama huna data.Lakini pili unafikiri kuwa Jangwni ndio kutatua matatizo,nani kakudanganya?ni wangapi wameenda Jangwani wamefanya nini kikubwa?
Mimi nadhani hii ngozi nyeusi ina manatizo sanaa. Leo hii hapa kwetu kuna maandamano makubwa sana ya kupinga malengo ya mikutano ya hawa vigogo wa G8 na G20 wanavyotutenda nchi maskini..Maajab ya Musssa hakuna ngozi nyeusi kabisaaa yaani kama wapo basi wanachungulia madirishani.
Imefika mimi kujiuliza, hivi ndivyo tunategemea mabadiliko yanaweza kuja kwetu ikiwa sisi wenyewe tunajificha majumbani mwetu tukisubiri wazungu waandamane on our behalf?...kisha kesho utasikia tukilalama kwa matusi yote..
Ni ushauri wangu tu Prof. Shivji kama unaweza kuyaona makosa kama haya kwa nini usiwe msitari wa mbele kuhamasisha wananchi ktk Upinzani badala yake ni kukosoa tu makosa mabyo tayari yamekwisha fanyika!. Uchaguzi mwezi wa 10 wewe umejjiandaa vipi kuwasaidia wananchi kukiondoa chama kinachowanyima haki zao za msingi!..
Duh! mkuu wangu nifanye nini zaidi unachokitaka?Change starts with you na siyo kumtegemea Prof.Shivji!!Kama umeona hayo yote,anza kuhamasisha kwa upande wako na ndio tutafikia mabadiliko yaliyo ya kweli.
Hivi ile Malaria haikubaliki katika viwanja vya wazi pale ilimsaidiaje kijana wa kitanzania? GS si unajua kuna wengine lazima waseme ...Uhuru wa kuongea...wee kaza buti acha waseme
Huyu Prof Issa G. Shivji anajifanya anatetea sana sera za Mwalimu, huku akiwa mpinzani mkubwa sana wa Muungano ambao Nyerere aliupigania hadi mauti yake!
Juzi hapa amekuwa champion wa ku-inspire Wazenj wamruhusu Karume kuendelea na uongozi baada ya muda wake kwisha bila hata kujali Katiba ya Jamhuri ya Muungano inasemaje! Amekuwa pia mtetezi wa Uzanzibari dhidi ya Bara au kwa kifupi, ubaguzi!
Soma vitabu vyake utaelewa ninasema nini! Amejifunika mwavuli eti kwamba anatetea mambo ya Azimio la Arusha, kumbe ni unafiki mtupu!