EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Let's start this thought experiment.
Say kuna mtu mwanachama wa FUC, mkazi na mpiga kura wa Chake Chake Pemba. Alikuwa na access na high level strategic meetings za FUC huko Chake Chake Pemba.
Katika hizo strategic meetings, candidate wa ubunge wa FUC Muleba katoa mchongo wa kushinda kwa kuhonga wahesabu kura wote strategy limeshapangwa, documents zipo, ma bank transfers yapo. Piga ua galagaza lazima ashinde ubunge Muleba ili aende ku introduce sheria fulani to an unsuspecting parliament ili kuruhusu takeover fulani katika biashara ya mafuta kwa WaIran. Huyu mtu ana documents za alliance na hawa waIran wamuendeshe kama remote control, awapatie parliamentary access to information.
Uchaguzi unapita, huyu mgombea wa FUC anashinda Muleba, kwa rushwa. Ushahidi wote huyu mjumbe wa FUC wa Chake Chake anao, anaweza kuuwakilisha mahakamani.
Nafsi yake inamsuta kwani anaelewa ubunge hawajashinda kihalali, na zaidi ya hapo mbunge hana nia nzuri na nchi kuna a conspiracy inaandaliwa.
Huyu mjumbe wa FUC asiwezeshwe kuchallenge ubunge wa huyu mbunge wa Muleba kwa sababu tu si mpiga kura wa Muleba?
Au si mgombea aliyeshindwa Muleba?
This scenario may read like a hyperbole from an overly excited mind, but it is actually very plausible under our current conditions.
Sasa hapo huyo mbunge atakuwa ametenda kosa la jinai na anatakiwa kuripotiwa kwenye vyombo husika ili vichukue hatua stahili. Time does not run against the State, so he can be reported hata baada ya uchahuzi kufanyika.
Obviously, mtu ata-argue kuwa vyombo husika navyo vinanuka rushwa na havitaweza kumshughulia huyo mbunge ipasavyo. Hata hivyo bado sioni sababu za msingi za kumbebesha mpiga kura mmoja mzigo wote wa kwenda kumshtaki huyo mbunge tena kwa gharama zake mwenyewe, unless haki yake binafsi (not haki za majority au wananchi wote) ziko hatarini.
Kama mpaka kuna watu wanataka kumtumia huyo mbunge kupata parliamentary access to information, then the relevant authorities should take over badala ya kumwanchia a single person in an omnibus to pursue such an expensive litigation alone. Hata kama huyo mpiha kura akishnda kesi, sana sana mbunge atapoteza ubunge and that will be it, pamoja na kwamba s/he preparing to commit a very serious criminal offence.
Sidhani kama hapo mpiga kura atakuwa anatendewa haki. Kifungu husika kinamruhusu pia Mwanasheria Mkuu wa Serikali kufungua kesi kama ana sababu za kisheria na ushahidi kuwa kulikuwa na irregularities. Kwa nini mtu kama huyu asichukue hiyo kesi ikizingatiwa kuwa ana resources za kutosha kuendesha hiyo kesi kulinganisha na huyo Mpemba?
Kama nilivyosema kwenye thread nyingine, irregularities in elections should not be regarded as a private wrong which an individual must come forward to remedy, but as attempts to wreck the machinery of representative government and as an attack upon national institutions which the nation (not just certain individuals) should concern itself to repel.
Election petitions brought by individual voters are both inadequate and inappropriate method of controlling fraud, corruption and irregularities in elections. For electoral policy to be policed by what are in effect private civil law actions brought at the expense of the litigant (plaintiff) cannot be acceptable. Tena kwa issue kama hii unamweka mpiga kura at risk. Anaweza kufa hata kabla kesi haijaisha.
If there is a public interest, then the relevant authorities should take over badala ya kumbebesha mzigo mtu mmoja on based on a simple ground that ananayo haki ya kushtaki hata kama haki yake kama mpiga kura haijaathirika.