Kufuatia tuhuma inayokukabili ya ubadhilifu na utakatishaji wa pheza, uongo na wizi wa mali ya uma inasemekana kuwa hayo yote yanayomkuta ni laana ya wananchi wa mtwara zidi ya uongozi wake wa ubabe kejeli na dharau dhidi ya viongozi wenzake na jamii kw ujumla.
Wananchi wa mtwara hawatakusahau kutokana na kuwadharau juu ya maombi yao kwa iliyokuwa wizara yako na serekali wakiomba kuwa ile gesi iliyogundulika mkoani humo basi iwekezwe apo apo mkoani kwa kujenga kituo kikuu cha kufulia umeme na kusafishia gesi itakayokuwa tayati kwa matumizi ya serekali au kuuzwa ili kupandisha uchumi wa mkoa huo ambao ni wa mwisho kimaendeleo kuliko kuiamisha kwa bomba mpaka daresalam.
Lakini tofauti ya mategemeo wana mtwara majibu ya serekali bungeni kupitia waziri uyo muongo kuwai kutokea ktk nchi hii yakawa ni lazima gesi ile itasafirishwa kwa bomba mpaka Dar
Baada ya wana mtwara kukataliwa maombi yao walitumia njia nyingine kudai haki yao kwa kuingia mtaani na kuandana, matokeo ikawa ni kupigwa na polisi nyumba hadi nyumba hadi kufikia kuuwa watu kazaa akiwepo mama mjamzito alipigwa risasi ya tumbo na kufariki yeye na mtoto alioko tumboni,baadae serikali hii dhaifu ikaona haitoshi ikawapeleka wanajeshi mkoani Mtwara wakiwa na vifaru vya kivita na kukamata watu na kuwatesa ktk kambi yao ilioko Naliendele mkoani hapo.
Swala hilo lilipofika bungeni nakumbuka vizuri ndio chanzo cha kuzaliwa kwa kauli ya waziri mkuu pale aliposema wanainchi wa mtwara. (wapigwe tu ).
Sasa basi kufuatia kauli zote hizo wanaichi wa Mtwara wana chuki zidi ya viongozi hawa na kumuomba mwenyezi mungu wao awaonyeshe viongozi hawa makosa yao zidi ya wana mtwara.
Sasa kufuatia matukio yote yanayowakuta viongozi hawa hadi mkuu wao labda hii ni laana walioachiwa na wanainchi hawa wa Mtwara.
Source: Nangu Nimwene