ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Prof. Anna Tibaijuka anasema bora hata ndoa zinazovunjika kwani hivi sasa hakuna ndoa, vijana hawaoi, wasichana nao hawaolewi.
Watu wanahangaika tu, asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini?
Kwa kizazi chake ilikuwa ikifika wakati fulani lazima atafute mume wakuolewa nae kwasababu walilelewa hivyo.