ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
π anakuja na Elimu. Two in oneUhaya bhana, anakwambia "na nina elimu ya juu kabisa".
π huyu maza ifike mahali asihojiweπ anakuja na Elimu. Two in one
Kama hujui kutumia "S" zaza zi Bora uzichati πZaza zio vizuri miaka zelazini hujaolewa ulikua unazubiri nini!!!
Mwanamke anayo mbinu ya kuamua ana pointHivi kwa tamaduni zetu anayeamua ndoa ni mwanamke au mwanaume, au mambo ya haki sawa ndio yamefika huku kwamba hadi wanawake nao wanaamua waolewe na kina nani na lini, mimi nilidhani wa kusisitizwa kuoa ni wanaume maana wao ndio wenye maamuzi ila cha ajabu wao ndio wa mwisho kuulizwa wanaoa lini
Ndiyo wanawake wa siku hizi wana chagua waolewe lini, Wao wanataka wana kwambia bado wanafanya Marengo na wanaweka masharti mfano utakuta mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mwenye Nyumba na Biashara na mwanaune hasinywe pombe. Ukiangalia hizi sababu enzi za wakina Anna Tibaijuka zilikua hazipo akilini mwao.Kwani mtu anachagua aolewe linu? Huyu naye anachanganyikiwa