Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
R.I.P Pof.
Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Sema tu akili zao ndio wanakua wameziacha kwingineIla humu JF watu wamekula chumvi balaa
Kwingine wapi huko?Sema tu akili zao ndio wanakua wameziacha kwingine
CCMKwingine wapi huko?
Shikamoo.....Babu.R.I.P Pof.
Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Sasa kwani tatizo liko wapi. Unataka niiache akili yangu ufipa?
At least...Sasa kwani tatizo liko wapi. Unataka niiache akili yangu ufipa?
Itakuwa nakufahamu. Kwa nini unajitoa akili,kisa ni uccm!?R.I.P Pof.
Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Ila humu JF watu wamekula chumvi balaa
Itakuwa nakufahamu. Kwa nini unajitoa akili,kisa ni uccm!?
Mkuu kumbe wewe ni mhenga ila unaleta mambo ya kidwanzi kabisa hapa JF? Kuanzia leo itabidi nikupe heshima kwa umri wako hata kama utaongea mambo yako ya ushabiki wa kipuuzi.R.I.P Pof.
Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.