Prof. Wangari Mathai is no more

Prof. Wangari Mathai is no more

africa mashariki tumepoteza one of our best...condolences goes to all Kenya's.
 
inasikitisha kuondokewa mama huyu machachari
 
rip mama mwanaharakati
sisi tulikupenda lakini mungu
kakupenda zaidi
mungu akuweke panapostahili
 
She was a strong woman against oppression and great custodian of environment. She managed to stand against impunity against one party system in Kenya. She deserves celebration of a life well lived.
 
Mama upumzike kwa amani kwani tumeuona mchango wako katika hii dunia.
 
Back
Top Bottom