GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na kingine GENTAMYCINE najijua nina Nyota Kali hivyo Michawi inanisaka kwa Udi na Uvumba na ndiyo maana huwa sitoi hovyo Mkono wangu. Kama tu Viganja vyangu vyote vina ALAMA ya BAHATI, ULINZI na MAFANIKIO makubwa ya M kwanini Wanga na HATERS wasihangaike kutaka Kunimaliza japo wanashindwa kwakuwa Mimi ni CHAGUO TUKUKA la Mwenyezi Mungu hapa duniani?
Peaneni tu Mikono yenu Muuugue na Mrogwe vizuri kwa Nyota zenu Kuchukuliwa hovyo. Salamu ya Mdomo inatosha!!
======
Mkurugenzi mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, Profesa Abel Makubi ameshauri Watanzania kubadilisha utaratibu wa heshima ya kusalimiana kwa kushikana mikono kwa madai kuwa kitaalamu siyo salama kiafya kutokana na ukweli kuwa njia hiyo huhamisha kwa urahisi mambukizi ya magonjwa mbalimbali.
Chanzo: Azamtvtz
Pia soma: