Profesa ajutia maringo yake, arudi Kijiweni!

Furahia maisha ya sasa hayo ya mbeleni hayana guarantee.

unaweza hataa usifike huko.

Wewe zubaa uje useme mtakuwa sawa,utanyooka,hakuna usawa dunia hii
Tusilaumiane lakini, ujumbe umeupata na najua umeku-tach
 
Mkuu thread yenye akili, ni fact tupu!

Najiuliza, yote haya uliyatafiti lini au ni katika kuwaza na kuwazua?
 
Mbona kuna mzee yuko dodoma ana 60+ na ni handsome vibaya mno..na bado anakula pisikali na harrier tako la nyani....na ni bishoo balaaa
one in million, wanawake hawaangalii uzuri wanaangalia fedha, Mrema anaopoa hata wanafunzi , hela , hela ndio maana huko duniani wanasiasa wanatoa watu roho kisa helaa.
 
Ujumbe mzito sana wenye falsafa kubwa ndani yake.
Mengi yaliyoongelewa katika huu ujumbe nimeanza kuyashuhudia kwa macho yangu.
 
Mbona kuna mzee yuko dodoma ana 60+ na ni handsome vibaya mno..na bado anakula pisikali na harrier tako la nyani....na ni bishoo balaaa
Kuna special cases chache hutokea mkuu,kwa mfano mimi babu yangu ana miaka 90 bado analima shamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…