TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

Prof Mwayo amefariki usiku wa jana Jumatatu kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Udsm.

Amefia hospitali ya TMJ
 
Nimewahi Fundishwa na walimu wengi, ila nilipofika Chuo mwaka wa 4 nikakutana na mwl. Ambaye aliugusa moyo wangu. Kutokana na ubize wake sikupata nafasi ya kuteta naye mawili matatu.

Hata baada ya kumaliza elimu yangu nilipanga one time niweze kurudi pale CoET si kw ajili ya kusoma bali kwa ajili ya kuzungumza na mwl. Niliyempenda mno na kuuamini na kuuheshimu uwezo wake uliopitiliza. Lakini Bahati mbaya haikuwezekana.

Mtindo wake wa maisha, namna alivyofundisha na kushauri vitabaki akilini na moyoni mwangu daima.

Mwl huyo ni Prof. Aloyce Wenceslaus Mayo.

Ee Mungu mwenyezi Mpumzishe salama salimini Mzee wetu Prof Mayo. Till another life. 💔
 

Nafikiri wengi tutakubsliana na ulichokiandika mkuu.

Lakini kifinga nae anapoint, umasikini unaambatana na stress nyingi sana na hivyo kufanya wengi wasiwe na furaha. Hii inawapelekea kuwa kwenye mawazo na uchungu mwingi.

Kuna ile kujisikia inferiority kutokana na umaskini, unyonge unatamalaki na hapo ndio ajenda ya roho mbaya kwa maskini inaposemwa.
 
Mke wake anamiliki FMJ hardware Buguruni
 
R.I.P
 
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…