DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hakika pindi ukitoka nje ya siasa unapata uoni wa yaliyomo ndani ya siasa,nakumbuka Mzee wa Galilaya,Kigwa boy,na hata Konda boy kwa nyakati tofauti hata Chala boy.Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali
Chanzo: East Africa Radio
Anyamaze tu, yeye alikuwa sehemu ya huo upuuzi. Kama anataka kutingisha kiberiti ili apewe nafasi ya mjumbe wa bodi atafute mbinu nyingine.Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali
Chanzo: East Africa Radio
😂🤨Kwenye CCM kabaki yeye na Warioba na Butiku na Mzee Malisa aliyepinga Samia kujichagua kugombea bila fomu ya CCM.
Kati ya maelfu na maelfu ndani ya chama cha wasomi, wastaafu, mabalozi, majaji, matajiri ambayo hayahitaji sent tano ya serikali na waheshimiwa wa kila aina na namna, eti tunapata watu watatu, wane watano wenye upeo, ujasiri na pride ya kukataa uchawa kwa mtawala wao mmoja. CCM mmeshaoza, hamna maana.
Ata huyo mama aliwai kua sehemu ya mapambio kipindi icho kamrija ka asali kanadondosha asali kwake.Tena ana kauli mbaya sana huyo.Aliwai kuita pesa zetu za mboga.Sasa hivi anajitutumua kwasababu kamrija kanadondoshea kwawengine ambao hakubaliani nao.Kwenye CCM kabaki yeye na Warioba na Butiku na Mzee Malisa aliyepinga Samia kujichagua kugombea bila fomu ya CCM.
Kati ya maelfu na maelfu ndani ya chama cha wasomi, wastaafu, mabalozi, majaji, matajiri ambayo hayahitaji sent tano ya serikali na waheshimiwa wa kila aina na namna, eti tunapata watu watatu, wane watano wenye upeo, ujasiri na pride ya kukataa uchawa kwa mtawala wao mmoja. CCM mmeshaoza, hamna maana.
Tuwekee Clip yake tusikie alipowahi kuikosoa serikali 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwani anafikiri wenzie wahaogopi.Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali
Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia sakata la Katiba mpya nchini Tanzania kwa kusema ''Vijana mtachoka sana kuja kusubiri katiba mpya''
Chanzo: East Africa Radio
Baada ya kustaafuProfesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali
Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia sakata la Katiba mpya nchini Tanzania kwa kusema ''Vijana mtachoka sana kuja kusubiri katiba mpya''
Chanzo: East Africa Radio
anakufa maji gani sasaMfa maji haishi kutapatapa je kwa mfano akirudishwa ndani atakuwa anaongea mengi hivyo ni Bora akae tu kimya
Ndio huyo lkn sasa imekuwa Serekali haiwajibiki hawa ni hatari kwa nchi yetuYule alosema kabilion s hela ya bongaa
Mwanzoni alileta changamoto wakati wa hamsha hamsha za vyama vingi,yeyè alitaka kusajiri chama cha kisiasa lakini cha wanawake.Nyerere hakupenda alijua impact yake kwa CCM.Ukishatoka nje ya mfumo ndo akili hukaa sawa
Cjui kwanini?