Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

Yupo sahihi Asssadi maana mpaka sasa serikali inataka kupanua bandari kavu huko kurasini ila tatizo linakuwa zile nyumba waliuzia watu kwa bei za kipuuzi sasa now wakisema wachukue maeneo itahitajika fidia kubwa
 
Wewe hujui CAG huteuliwa na Raisi na Bunge kumuidhinisha wewe ndie hujui
Huna akili mbuzi wewe ndio maana tunasema ccm imeajiri MAPIMBI msitulaumu ndo maana CDM WAKIJA HUKO wanateuliwa nyie mnaachwa.

Nioneshe sheria inayosema CAG anathibitishwa na BUNGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…